Simu hii bado haijasajiliwa. Chagua jina lako MARA MOJA — huu hautahitajika tena baada ya leo, mara zijazo utafungua tu na kuscan QR langoni.
✅ Umesajiliwa! Sasa tunza link hii yako binafsi kwenye WhatsApp — hii ndiyo itakayokukumbuka
hata ukisafisha (clear) simu yako baadaye. Fanya hivi MARA MOJA TU, sasa hivi:
Kisha kila siku, fungua ujumbe huo huo kwenye WhatsApp yako na ubofye link — badala ya kutafuta ukurasa huu.
Imeshindwa kufungua kamera. Hakikisha: (1) umeruhusu (allow) matumizi ya kamera,
(2) ukurasa huu unafunguliwa kwa https://, na (3) hakuna app nyingine inayotumia kamera kwa sasa.